Sunday, June 5, 2011

Shhhhhhhhhhh,Itafahamika tu muda si mrefu!


Kumekuwa na uvumi eti huyo mjamaa mwarabu-mfaransa wa arsenal Samir Nasri huenda akatua Manchester United,mmh kocha wake wenger hataki kumuuza,mashabiki wa arsenal pia hawaipendi taarifa hiyo,,,lakini msikie mwenyewe hapa wakati akihojiwa na TFI's Telefoot huko Ufaransa-"Do I want to go to Man United? Initially, we should see if it's real and if it is concrete."Tehe tehe teh!

Habari yako bana!!


mzigo ndio kwanza nimeushusha kwa mara ya kwanza dah!